kwa wale wanaopenda kuaandaa music(audio production)
nimewaletea na hii program nyingine
unazoweza kutumia kutengeneza beat nzuri
za aina zote kuanzia pop,r&b,hip hop raggae n.k
kwa wale ambao ndo wanaanza kwa mara ya kwanza kutumia
fl studio nimewawekea video ya kujifunza
pamoja na progam yenyewe
pamoja na progam yenyewe