virtual box ni program inayokuwezesha kuweka operating system ambazo ki uhalisia haiwezekani kuziweka kwenya computer za aina flani m...
virtual box ni program inayokuwezesha kuweka
operating system ambazo ki uhalisia haiwezekani
kuziweka kwenya computer za aina flani
mfano kuweka MacOS haiwezekani
kuingia kwenya PC
wala windows haziwezi kuingia kwenye
Mac computers

kwa kutumia virtual box yote mawili yanawezekana
hii itampa mtu ambaye mazingira yake ya kazi
yanatumia aina zote mbili za computer uwezo wa
kuzijua OS zote mbili
na namna ya kuzitumia
ni nzuri ka wale wenzangu na mimi ambao hatuna
uwezo wa kununua computer za mac lakini
field zetu za kazi zinatuforce kujua os zote
bofya hapo chini kupakua
tazama video ya jinsi ya kutumia
virtual box