Hii njia inafanya kazi 100% 1. Baada ya mtu kukublock whatsapp wasiliana na mmoja wa watu wako wanaotumia whatsapp kisha mwambie aunde ...
Hii njia inafanya kazi 100%
1. Baada ya mtu kukublock whatsapp wasiliana na mmoja wa watu wako wanaotumia whatsapp kisha mwambie aunde group na katika hilo group akuweke wewe na huyo mtu halafu yeye aleft m'baki wawili tu.
2. Anza kuandika ujumbe atake asitake ujumbe utamfikia na mtakuwa nyie wawili tu kama mnachat inbox vile😂