mahitaji kifaa kilichounganishwa na internet (smart phone,computer au ipad) browser yoyote either opera,chrome,firefox,uc browser au sa...
mahitaji
- kifaa kilichounganishwa na internet (smart phone,computer au ipad)
- browser yoyote either opera,chrome,firefox,uc browser au safari)
- jina la video anayotaka kudownload
hatua
0. ingia kwenye youtube kwa kutumia browser( usitumie application ya youtube maana hutowexa kufanya haya plzz tumia browser
2.ukishaupata wimbo play
3.wakati wimbo bhado unaplay edit url ya wimbo na uongeze ss baada ya www. mafano https://www.ssyoutube.com/watch?v=_bPjsDcPHks
4. click go kuingia kwenye hyo link na itakupelaka mahaali kama hap
5. click download na video yako iko tayari kudownload subiri imalize then u are free to listen
- andika jina la wimbo unaoutaka alafu search
KAMA KUNA M AHALI HUJAELEWA
CLICK HAPA
UINGIE KWENYE FORUM YETU REGISTER ACCOUNT THE ULIZA MASWALI YANAYOKUTATIZA
COMMENTS