Download W3 School offiline Website Na uongeze Uwezo wa Programming,(rahisi na nzuri kutumia)

w3 school ni website inayomwezesha yeyote anayetaka kujifunza
computer programming kwa kutumia lugha mbalimbali 
kujifunza na kuchapa code bila kutumia software yoyote
kwa kutumia w3 school website unaweza kujifunza lugha zaidi ya moja kama
vile java,android,python,sql,c++,c,c# html,java script,css na nyinginezo 
nyingi amabazo hata hujawahi zickia
leo nimekuletea w3 school offline website,
website hii ya offline unaweza kuitumia bila kuhitaji internet connection
nikiwa na maana kwamba inakuwa kama hosted locally kwenye
computer yako
Faida zake
rahisi kujifunza
inatumia nafasi ndogo kwenye pc
portable
inatumika kwenye operating system yoyote
windows,linux,macos n.k

JINSI YA KUITUMIA


right click kwenye hili file



chagua extract all,



fungua file baada ya kuexcract


right click kwenye index.html

chagua open with

chagua browser yoyote kufungulia 

mfano open with chrome


tayari kutumia
 

By Erick Chuwa