Toon boom studio 8 ni software ya kutengeneza animations ikiwemo katuni programu hii inakuwezesha kuchora katuni kuifanya katuni itembe...
Toon boom studio 8 ni software ya kutengeneza animations ikiwemo katuni
programu hii inakuwezesha kuchora katuni
kuifanya katuni itembee na kufanya movement nyingine kama
kukimbia na kucheza
waweza pia kuwekea sauti mbalimbali
kama vile kuongea,kucheka,kuimba hata vicheko
ni rahisi kutumia na inahitaji knowledge ndogo tu ya
graphics na multimedia
Video ya Tutorial Kwa wanaoanza kutumia toon boom