matangazo ya google ni matangazo ambayo google imepewa dhamana ya kuyatangaza kwa watumiaji mbalimbali wa mtandao kupitia websites & bl...
matangazo ya google ni matangazo ambayo google imepewa dhamana ya kuyatangaza kwa watumiaji mbalimbali wa mtandao kupitia websites & blogs,apps,software na youtube.makampuni mbalimbali duniani na watu binafsi huwalipa google kisha google huwalipa wamilikiwa websites,appa na youtube chanel hosters kiwango cha asilimia 68% kila mara mtu anapo bofya tangazo la kampuni husika..Matangazo haya hulipa Per Click kwa maana nyingine lazima mtu anayetembela chanel yakoau website yako abofye tangazo.kwa watanzania wengi hili bado ni tatizo sababu kupata dhamana ya kuonyesha matangazo kwenye blog ni changamoto kwakua google hawaruhusu kutumia lugha ya kiswahil ili kupata matangazo.
changamoto
1.ukosefu wa lugha ya kiswahili kwenye sera za google adsence
2.watanzania wengi hawana utamaduni wa kubofya matangazo ya google.hili ni tatizo kwa wamiliki wa blogger na youtube chanel ..
watanzania wanahitaji kuwa na utamaduni wa kubofya matangazo haya kwakuwa bloggers wanatumia pesa wanayoipata huko ili kukupa wewe kile unachokipata kwenye blog zao.
tembelea matangazo ya google kadiri uwezavyo kwani nayo yanatoa huduma ambayo waweza kufurahishwa nayo.