Mtandao wa Instagram umezindua huduma mpya na huduma hiyo wameipa jina la IGTV ambayo itawawezesha watumiaji wao kuweza kuposti video mbali...
Mtandao wa Instagram umezindua huduma mpya na huduma hiyo wameipa jina la IGTV ambayo itawawezesha watumiaji wao kuweza kuposti video mbalimbali ambazo zitakuwa na dakika moja pia mtandao huo umeongelea swala la maadili kwa video zitakazowekwa kwenye mtandao huo ili kuwalinda watoto waliochini ya miaka kumi na minane na pia kama video itakiuka maadili wataiondoa.

COMMENTS