leo ningependa tuangazie swala zima la kufanya manunuzi Amazoni, je amazoni ni nini? Amazoni ni mtandao unaojihusisha na uuzaji wa vifaa ...
leo ningependa tuangazie swala zima la kufanya manunuzi Amazoni,
je amazoni ni nini?
Amazoni ni mtandao unaojihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali
na huduma mbalimbali kupitia intenet,ni mjumuisho wa maduka
na makampuni mbalimbali bila kusahau mtu mmoja mmoja.
maduka haya na makampuni lazima yatambuliwe na amazoni
kabla ya kuanza kutangaza biashara zao kwenye soko hili.
Usalama upo ?
watu wengi haswa wanaotokea nchi za daraja la 3 wamekuwa
na wasiwasi sana juu ya masoko ya mtandaoni kama amazoni,
mimi binafsi sikuwa nayaamini mpaka pale nlipojaribu kutumia.
napenda nikuhakikishia kuwa Amazoni wana ulinzi wa kutosha
kama utafuata utaratibu mzima wa kujiunga na kufanya manunuzi
vizuri.
Je napaswa kufanya nini kabla sijajiunga na amazoni ?
yapo mambo kadha wa kadha ya kufanya kabla hujajiunga na
amazoni kama ifuatavyo:-
1.lazima uwe na account ya benk na Master Card au Visa Card
2.lazma uwe na account ya Paypal
3.hakikisha unatumia kifaa chenye usalama mzuri na uwe na
Ant malware kama vile Ant-virus na Ant-spyware
4.uwe na sanduku la posta kwa sababu bidhaa utakazo agiza
zitatumwa kwa njia ya post
5.uwe na email account ya kuaminika
Jinsi ya kufungua account amazoni.com
1.bofya link ifuatayo https://www.amazon.com/
2.nenda mpaka sehemu iloandikwa sign in
3.menu zitafunguka na utaona sehemu imeandikwa
New customer? start here

Bofya start here
4.page mpya itafunguka,jaza particular zako hapo

5.maliza usajili wako
mpaka hapo unaweza kufanya manunuzi amazoni

COMMENTS